Lilian Mmbando Model

  Fashion Modeling
  Face Modeling
  Runway Modeling
  Height: 5′7ʺ / 170cm Born: 1996

  Lilian Mmbando is a Model based in Dar Es Salaam. Lilian was the 2nd Runner Miss Grand Tanzania 2017. Her work experience includes fashion photoshoots and events. She is available for fashion and print projects.

  Lilian E Mmbando ni binti amezaliwa mwaka 1996 January 29. Ni binti wa kichaga, Mtoto wa nne kwenye Familia Ya Watoto Saba. Mwanamitindo anayependa kufanya Kazi za Urembo. Ni Mrembo, anajitambua, anajiheshimu anapenda anachokifanya. Pianibinti anayefanya kazi za maswala ya Sayansi ya Computer na mambo ya mitandao ya Kijamii.